Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

Natafuta Kiwanja Dar es Salaam

Weka bajeti yako viwanja vipo vingi

Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.

ASANTENI.
 
Mkuu nimependa sana umevyojieleza,hadi Raha.
Hope utafanikiwa,maana hapo hakuna swali.

Ila Kosa kubwa umelofanya ni kuweka Budget yako ya 15m + .
Sio kwamba nafitinisha ila ni Budget kubwa,na wengi humu ni Madalali,sasa unaweza kupigwa kiwanja cha 7m watu wakakupa 14m maana wanaona unazo.
Ni Mtazamo tu.Hope utakuwa Mjanja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom