Habari wana JF.
Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida ya makazi kwa Mkoa wa Dar es Salaam.
Kama kuna yeyote anauza, au rafiki yake anauza au hata jirani anauza tafadhali naomba uni pm au unijulishe kupitia +255 718 084 824.
Ahsante sana.
Ni kilometres ngapi kutoka Bagamoyo road?kimepimwa?Kuna kiwanja kinzudi mwisho, ukipita salasala, 20×20 milioni5! 20×30 milioni9,
0752953860
Ni kilometres ngapi kutoka Bagamoyo road?kimepimwa?
3kilometer kutoka bagamoyo road(mbuyuni)
Ndiyo mbele kidogo ya waitara mkuu wa majeshi zamaniUnapita kwa yule aliyekuwa mkuu wa majeshi nadhani au sijui ni mkuu wa police?
Ndiyo mbele kidogo ya waitara mkuu wa majeshi zamani
Umbali gani kutoka kwa waitara? Kuna jamaa yangu nampa namba yako akupigie mpange aje kucheck vp bei inapungua?
Kutoka kwa waitara kama mita300 hivi, bei inapungua! Mpe namba aje..
Poapoa