Natafuta kiwanja Dar es Salaam

Natafuta kiwanja Dar es Salaam

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
179
Reaction score
152
Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale.

Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000.

Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
 
Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba , Makongo juu, Madale .
Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000.
Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
Mbona husemi una shi ngapi mkuu?
 
Dalali huyo asikupe shida
Mkuu Habari, offer yako bado ile ile 5m?

Maana ni kitambo sana toka thread za mwaka 2016 unatafuta kiwanja kwenye hayo maeneo.

My advice.

Kwa hayo maeneo na kwa ukubwa wa kiwanja unachohitaji (sqm 1000+) kwa budget si chini ya 30m+ (hapo ni unsurveyed plot, kama ni surveyed ni 40m+).

Ukitoa kimara ndio unaweza kupata kwa 15m. Kama offer yako bado inacheza Kwenye 5m jaribu kubadilisha location... Mfano kibamba, kibaha, Kigamboni etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom