Kigamboni unampango napo?Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
Gamba hilo lisikupe tabu limcheki polepole au bashite watamsaidia
Nauza kiwanja kizuri sana Kigamboni Dege Mtaa wa tatu kutoka LamiWakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
Wanauzaje?Kuna viwanja vya serikali kigamboni vyenye uhakika.
Your budget pleaseWakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
Ni vyema ukaweka wazi kiwanja unakihitaji kwa lengo gani? Ujenzi wa makazi ya kuishi au ujenzi majengo ya biasharaWakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km