adsense master Senior Member Mar 12, 2019 107 171 Mar 15, 2020 #1 Habari wakuu natumaini wazima npo mbeya mjini nahitaji kiwanja kwaajili ya makazi kiwe kimepimwa na hati,sqm 750+,kuwe na maji na umeme..ngependelea zaidi iwambi mpya ( upande wa maghorof) bajeti yangu 7M. NB:SIHITAJI DALALI Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu natumaini wazima npo mbeya mjini nahitaji kiwanja kwaajili ya makazi kiwe kimepimwa na hati,sqm 750+,kuwe na maji na umeme..ngependelea zaidi iwambi mpya ( upande wa maghorof) bajeti yangu 7M. NB:SIHITAJI DALALI Sent using Jamii Forums mobile app