Aunty kemmy
Member
- Dec 13, 2013
- 46
- 23
Habari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Vizuri sana ila ungetafuta madalali ungekipata haraka sana
Kipo madale mil 12, ukubwa 30×20
Habari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Chezea kipindi hiki cha mzee Magu wewe,umeona viwanja ulivyoletewa hadi mwenyewe umebaki hoi,na bado vitazidi kuja na full detail.Habari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Njoo nikuuzie kiwanja Kivule-Sirari....jirani kabisa na Banana...bei 2m....ukubwa 400sqm...karibuHabari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Mkuu hyo ni sawa na ngapi kwa ngapiNjoo nikuuzie kiwanja Kivule-Sirari....jirani kabisa na Banana...bei 2m....ukubwa 400sqm...karibu
Mie ni dalali wa boko bunju mbweni bunju mpiji madale nk. Unataka kiwanja cha aina gani imean ukubwa gani ?Habari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
Nina kiwanja cha sqm 920 kipo mbweni bei ni 80milion. Kina hati na kipo jirani na bahari # 0712464777Habari zenu jf
Natafuta kiwanja cha kununua maeneo ya boko bunju madale mbweni na goba
Kiwe kimepimwa tayari.
unaNina kiwanja cha sqm 920 kipo mbweni bei ni 80milion. Kina hati na kipo jirani na bahari # 0712464777