Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida dar

Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida dar

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye uzoefu nisaidieni kwa ushauri
 
Usivunjike moyo mkuu waweza pata.
Nakushauri uongee na wazee wa mji zaidi kuliko kuongea na madalali.
Huwezi kosa ongea na watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom