Wadau respect mbele....! Naomba kwa alie na taarifa za upatikanaji wa kiwanja cha kujenga morogoro hasa maeneo ya kihonda, nane nane, mikese, na bigwa....najua nikianza kuzunguka mwenyewe nitapata taarifa, ila kwa sasa nimebanana naomba nianzie hapa.