hapo hata dondwe kwenyewe haupati hata miguu kumi
Aisee kweli unapenda Lami,wenzio wanapenda barabara,kwa bei hiyi hata kwa chanika hupati kwa kigezo cha lami.Nnatafuta Kiwanja Chanika 20X30 au 20X30. Nina 2.5Ml.
Mwenye nacho(Kiwanja)karibu na barabara ya Lami Isizidi 1KM. Ani PM tafadhali.