Natafuta kiwanda cha madumu Arusha

Alhaji24

Member
Joined
Feb 13, 2020
Posts
6
Reaction score
3
Samahan ndugu naomba kuuliza kiwanda cha madumu ya plastic kama litter 3 ,5 na 10 kama mnafaham kilipo plz me nipo Arusha
 
Sakina kuna kiwanda cha plastics sijajua kama wanatengeneza hayo unayoyaulizia!

Samahani madumu ya plastic ni nini?
 
Wacheki A to Z Arusha...
Wale kiwanda cha plastics pale sakina hawana gallons unazohitaji wana vifungashio vingine vya plastics. A to Z wanazo, otherwise madukani singida yapo mengi Lita 1 wanauza 800/-; Lita 3 kwa1,200/- na Lita 5 kwa 1,500/-.

Galoni za litter 5 haya yakiwekea maziwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakina kuna kiwanda cha plastics sijajua kama wanatengeneza hayo unayoyaulizia!

Samahani madumu ya plastic ni nini?
Shukran nimekipata kingine kipo njiro kinaitwa leo plastics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…