wakuu habari natafuta MTU anayemweza kuniuzia kiti cha salon cha kiume used, kiti kiwe cha kawaida sio vile vya barbar shop, maan offer yangu ni ndogo, na salon yenyewe ni ya uswazi. offer yangu ni 50000, pia kama kunasehemu wanachongesha hivi viti vya chuma naomba unielekeze.naishi dar. asante.kwa mawasiliao PM