Natafuta kitabu cha Njama

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau naweza pata wapi kitabu cha Njama kilichondikwa na marehemu Musiba humu jamii forum?
 
Kama upo mwanza vipo barabara ya posta karibu na pizzeria kwa wauza magazeti.
 
Wadau naweza pata wapi kitabu cha Njama kilichondikwa na marehemu Musiba humu jamii forum?
Njama na vitabu vyote vya Elivis Musiba vipo mitaani .mwezi uliopita nilivununua kwa chinga Njama,Hofu,Kisasi kila kimoja elfu 10.
 
Mm nilivinunua ndani ya basi nikitokea jijini Mwanza nikielekea Shinyanga . ..yaani nilivyoviona tu sikuchelewa kutoa pesa, Njama, Hofu, Kikomo na Kikosi cha kisasi...vyote hivyo ilinigharimu sh. 32,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…