mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 99
nadhani anamaanisha riyawaRiyawa ndio nini mkuu?
Salamu toka kuzimu, nahisi ni Joram Kiango huyoNi kichwa habari cha Riyawa fulani hivi kilikuwa kinasema
Kama kuna member anacho kitabu hicho naomba tuwasiliane au kama mtu anajua kipopatikana anielekeze kilipo ahasanteni sana
Hizi riyawa sidhan kama zinauzwa Bongo labda Indianadhani anamaanisha riyawa
Mkuu riyawa zikopoaHizi riyawa sidhan kama zinauzwa Bongo labda India
ziko poa hizi riyawaMkuu riyawa zikopoa