Nenda kariakoo , mtaa wa uhuru, opposite na shule ya Benjamin mkapa Kuna maduka ya simu kule. , ingia ndani ya maduka , usiwape wale mafundi wanaoka mezani nje . Bei ya kioo namba Moja ni 180,000 bei ya kioo namba mbili ni 90,000 hadi 100,000Mwenye kioo cha sasmsung s9 nicheki 0766205600.simu imevunjika kioo na ina taarifa za muhimu.p