Natafuta king'anuzi cha Azam

Joined
Sep 23, 2019
Posts
20
Reaction score
2
Mwenye king'amuzi cha azam aniuzie pajet yangu 70000 tu anicheki whatsapp 0715992666 nipo dar
 
ukipata kwa hiyo bei huyo ataekuuzia hakikisha

sio teja na wala haja kiiba,mpige maswali sana

Unaweza ukapata only if Muuzaji ana ndugu yake yuko ICU

Na hela pekee anayotegemea akamuokoe ndugu yake ni

kwenye hicho king'amuzi,tofauti na hapo 70,000 ni nyingi ila si kwa AZAM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…