Natafuta King'amuzi cha Star Times

Natafuta King'amuzi cha Star Times

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Offer yangu 30,000/= nipo Dar.

Kwa mtu aliyenacho tuwasiliame kwa PM.
 
Ndugu hiyo ni bei ya antenna ya king'amuzi cha Startimes na si King'amuzi.
 
startime dukani Kwao Pale Bamaga Mwenge Bei Yake Ni 82,000 Antena Yake Sh. 27000 Jumla 109,000/=we Unataka Cha Sh.30000 Ambayo Ni Bei Ya Antena.
 
Mie ninacho cha Startimes kikiwa complete na antenna yake ya nje kwa Shs 70,000/=. Karibu, napatikana Dar!
 
Me naitaji king'amuzi na remote antena ninayo mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mie ninacho cha Startimes kikiwa complete na antenna yake ya nje kwa Shs 70,000/=. Karibu, napatikana Dar!

Naitaji 0766786620 nitumie picha

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bado naitaji king'amuzi cha startimes mwenye kuuza anitafute hapa 0766786620 napatikana Dsm

Nipe 50k nikuachie changu sikitumii
 
Attachments

  • 1415157243871.jpg
    1415157243871.jpg
    74.6 KB · Views: 243
anayehitaji TING kipo. kimetumika kwa mwezi mmoja tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom