Clemford Member Joined Nov 26, 2011 Posts 63 Reaction score 91 May 12, 2017 #1 Wadau natafuta kinanda cha kawaida cha muziki. Bajeti yangu ni shilingi 400,000. Naomba mwenye uwezo wa kusaidia tuwasiliane. Lengo ni kujifunza tu kuplay muziki na hivyo sihitaji kinanda chenye uwezo mkubwa kwa sasa.
Wadau natafuta kinanda cha kawaida cha muziki. Bajeti yangu ni shilingi 400,000. Naomba mwenye uwezo wa kusaidia tuwasiliane. Lengo ni kujifunza tu kuplay muziki na hivyo sihitaji kinanda chenye uwezo mkubwa kwa sasa.
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,937 Reaction score 5,754 May 12, 2017 #2 Jombaa kinandaa kinaanzia million na pesa
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,704 Reaction score 9,077 Mar 4, 2018 #4 Mie nauza m audio pro keys 88 laki 8.5
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,392 Reaction score 6,543 Mar 4, 2018 #5 mtzmweusi said: Mie nauza m audio pro keys 88 laki 8.5 Click to expand... ndo nini kwa sie wakinga washamba embu tuwekee picha
mtzmweusi said: Mie nauza m audio pro keys 88 laki 8.5 Click to expand... ndo nini kwa sie wakinga washamba embu tuwekee picha