Natafuta kiki

Natafuta kiki

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,775
Wakuu kuna ka pikipiki kangu ka honda 110 kiki imekufa, nimezunguka sana naambiwa spea zake ni shida kidogo hapa Simiyu.... naomba anayefahamu sehemu nitakayopata anisaidie.
 
Nimecheka sana. Nikadhani unatafuta kiki ya kuwa maarufu kumbe spea!
 
Nenda kwa mange mkuu, ikishindikana mchek dudubaya ukikosa kabisa nenda kwa hamorapa

Back
Top Bottom