Natafuta kijana wa kazi

federicofernandez

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
578
392
Kaz ipo uhakika...
Kama nkitoa mzgo kwa wiki tukiingiza mfano 350,000 yeye atapata 150,000

Vigezo
.awe anaishi dar
.awe muaminifu
.22+ of age
 
Vipi chakula na malazi pia muundo wa kazi Je kwa wiki mkatoa mzigo wa 50,000/ yeye utampa ngap?
 
Vipi chakula na malazi pia muundo wa kazi Je kwa wiki mkatoa mzigo wa 50,000/ yeye utampa ngap?
Ni rahisi MTU kushawishika kama kwa wiki tukitoa mzigo wa 350,000/ napewa 150,000/ means kwa mwezi naweza kupata 600,000/+ kumbe waweza pata mpaka chini ya 150,000/ kwa mwezi mzigo usipotoka
 
Ogapa tapeli lazima mnaotafuta ajira mjihami na hilo, hakuna tangazo la kazi alafu kazi yenyewe iwe siri. Hata kama huna kazi unawezaje kuomba kazi usioijua ni kazi gani, najua nitakua nimemuudhi mwenye mada hii, ila moyo unanituma kuwahurumia Watanzania wenzangu, ambao wanahangaikia maisha yao
Mkita nendeni mkiwa na kengele ya tahadhari na ajira hiyo isiyo wazi, je ni kazi halali kweli.
 
Back
Top Bottom