Kifusi cha bure mkuu dunia hii
Kifusi kama kifusi hakina bei. Ishu usafiri. Kama unacho mpe ahangaike nacho. Kuna mwingine kachimba shimo. Kifusi hajui apeleke wapi.Kifusi cha bure mkuu dunia hii!
Ni kwelikuna baadhi ya watu huwa wanagawa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kifusi cha bure mkuu dunia hii!
Njoo nipo Mbezi kifusi kingi 0715088880Wakuu natafuta kifusi cha bure au bei rahisi. site ipo pugu Dar es salaam
Mbezi ipi hiyo mkuu. mi nataka nikipeleke pugu cost si itakuwa kubwa sana.Njoo nipo mbezi kifusi kingi 0715088880
Dah. jangwani kwenyewe wanahitaji kifusiKachote Jangwani pale nimekuruhusu.
unafuu utapatikana mkuu. we nipe mchongo tu. nataka nikipeleke puguKama unataka kifusi cha bure unaweza kukipata Ila utachajiwa usafiri. Mwisho wa siku ni kitu kilekile
Mbezi hapa mwisho njia ya kuja huko g. mbotombezi ipi hiyo mkuu. mi nataka nikipeleke pugu cost si itakuwa kubwa sana.
Mkuu kwanini usichimbe shimo la choo upate hicho kifusi?Wakuu natafuta kifusi cha bure au bei rahisi. site ipo pugu Dar es salaam
Kifusi cha shimo hakitoshi. pia gharama za kufunika shimo zinahitajika piamkuu kwanini usichimbe shimo la choo upate hicho kifusi?
sawa mkuuFuata ushauri wa mikopo kichefuchefu hapo juu
Nenda Kinyerezi mwisho kwa mbele kidogo uelekeo wa kifuru, wanatoa kifusi bureWakuu natafuta kifusi cha bure au bei rahisi. site ipo pugu Dar es salaam
sawa mkuu. kesho naenda kuchekiNenda Kinyerezi mwisho kwa mbele kidogo uelekeo wa kifuru, wanatoa kifusi bure