Natafuta kifusi cha bei rahisi

Natafuta kifusi cha bei rahisi

KIFUSI CHA BURE Kabisa huwa kipo makaburini ukifa wanakuandalia kifusi bure kabisa tena wanakujazia kwelikweli!
Hivyo usitake sana vya bure!
HAKUNA KIFUSI CHA BURE KABISAA maana lazima patahitaji nguvu hata kama unakitoa mtaa wa pili!
ushauri wangu, kama unakiwanja kikubwa eneo la mbele lichonge uwe kama unalisawazisha utapata kifusi;
Pill chimba shimo la choo ongezea kifusi tatu chimba shimo jingine la taka chukua kifusi halafu hilo shimo jipe mda wa kulijaza taka taratibu ndani ya miaka miwili litakuwa limejaa
NNE
tengeneza floor yenye steps sebulen na dining weka step ili kubalance wingi wa kifusi!
 
Airport ( Mwl Nyerere ) pale huwa naona bonge la kifusi.

Halafu waneandika hawauzi kwa anayetaka. Kajaribu kuuliza unaweza kuzoa uwezavyo
pale walikuwa wanatoa ila kwa,sasa,sina uhakika kama,bado wanatoa
 
KIFUSI CHA BURE Kabisa huwa kipo makaburini ukifa wanakuandalia kifusi bure kabisa tena wanakujazia kwelikweli!
Hivyo usitake sana vya bure!
HAKUNA KIFUSI CHA BURE KABISAA maana lazima patahitaji nguvu hata kama unakitoa mtaa wa pili!
ushauri wangu, kama unakiwanja kikubwa eneo la mbele lichonge uwe kama unalisawazisha utapata kifusi;
Pill chimba shimo la choo ongezea kifusi tatu chimba shimo jingine la taka chukua kifusi halafu hilo shimo jipe mda wa kulijaza taka taratibu ndani ya miaka miwili litakuwa limejaa
NNE
tengeneza floor yenye steps sebulen na dining weka step ili kubalance wingi wa kifusi!
Tumia busara basi mkuu. Mtu anashida unafanya mizaha, sio poa. Kesho na wewe unashida mtu anakuja kukuletea mizaha badala ya kukupa msaada utajiskiaje best..... Usiwe hivyo.
 
Wewe ndo huna busara umesgindwa nn kuelewa nilicho andika
 
Tumia busara basi mkuu. Mtu anashida unafanya mizaha, sio poa. Kesho na wewe unashida mtu anakuja kukuletea mizaha badala ya kukupa msaada utajiskiaje best..... Usiwe hivyo.
kwenye jamii watu kama hawa,hawakosekani mkuu. kwa hiyo asikupe shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom