Kilichagaa19
Member
- Sep 14, 2018
- 83
- 46
Nimependa hapo eti saa ya kazi ni kazi !! Siyo nanihilu moja tu jamaa anakupa mgongo! Mimi nimezeeka kidogo ila hii ningeiweza.Za nyakati hizi mimi ni msichana age miaka 27 natafuta mwanaume karibu na mimi arusha au moshi .
Maana wa mbali kujenga mahusiano nitakuwa najidanganya mimi najiamini .
Ni mzuri ,mkarimu na pia napenda sana kupika , na mitoko.
Sifa kwa mwanaume
Mrefu wastani mzuri wa moyo na akivalishwa anavalika.
Awe tayari kunijali awe nakazi na elimu pia .
Umri 30 - 36 sitaki kuwa na wazee sanaa .
Nitazeeka pia .
Najiamini sipendi watu serious hata hawacheki napenda watu wacheshi na saa yakazi ni kazi .
Awe mkweli kabisa .
Kunijali ni sawa .
Nataka wakuniliwaza sio wa kero na stress .
Kama uko single ni pm only arusha and moshi plz.
Kuoana ni mipango kama ikitokea poa .
Ila kuwa na kampani sio mbaya.
Karibuni kwa masingle boys.
Kaka yangu jitokeze me ntakusaidiaKila la kheri manka.... Huu udomo zege utaniua.
Kila la kheri manka.... Huu udomo zege utaniua.
Unanisaidiaje dada yangu?Kaka yangu jitokeze me ntakusaidia
na akivalishwa anavalika.
Nimesha drop kwa id yangu ile nyingine kazi kwake sasa.Utakuuaje sasa zama pm shusha cv yako ukikubaliwa wacheza kwaito tupo
Hapo kwa manka ebu mpm me nae nakuja uko uko kukulainisha domoUnanisaidiaje dada yangu?
Haya naenda...Hapo kwa manka ebu mpm me nae nakuja uko uko kukulainisha domo
Kwa nn usitumie hii inayojulikana bamdogo unaharibu sasaNimesha drop kwa id yangu ile nyingine kazi kwake sasa.
Nikimwagwa nitaabika mie...hata ile inajulikana.Kwa nn usitumie hii inayojulikana bamdogo unaharibu sasa
Nikimwagwa nitaabika mie...hata ile inajulikana.