Natafuta kibarua kwenye shamba au mifugo

Natafuta kibarua kwenye shamba au mifugo

EnBinga

Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
8
Reaction score
2
Habari wanajukwaa, husika na kichwa cha Habari hapo juu mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 20's
Najitokeza kwenu kuomba kazi za vibarua mashambani au kusimamia mifugo hasa mifugo aina ya ndege kama vile kuku (kisasa na kienyeji) na bata.
UJUZI NA UZOEFU
KWENYE KILIMO
Ni mzoefu katika masuala ya kilimo kama vile
1)kutambua aina za udongo unaofaa kwa zao fulani,
)2kutambua magonjwa ya mimea kutokana na ukosefu wa micronutrients na macro nutrients,
3)kuandaa vitalu,
4)kuhifadhi rutuba ya udongo
5)kuhifadhi mazao ya aina zote kwa njia ya asili na kisasa.
6)Crop rotation
7)Kutunza mazao ya muda mrefu kama miembe, michungwa na mikorosho
Naweza kukaa kambi
KWENYE UFUGAJI
1)Nina ujuzi wa kujenga mabanda ya kuku ya kisasa kulingana na mazingira husika kama vile hali ya hewa ya eneo husika idadi ya kuku,
2) Kutambua magonjwa ya kuku na kutafuta tiba yake(typhoid, mafua kideri nk)
3)Kuandaa vyakula vya asili vya kuku kama vile protein itokanayo na wadudu kama vile mende
4)Na mengineyo kulingana na changamoto zitakazo jitokeza.
NINA UWEZO MZURI WA KUTUMIA ONLINE RESOURCES HIVYO KUONGEZA TIJA KATIKA MRADI WAKO
NAPATIKANA DAR ILA NAWEZA FANYA KAZI SEHEMU YOYOTE
PIA KAMA UNAYO KAZI YOYOTE HALALI YENYE KUHITAJI MTU WA KUIFANYA NAOMBA TUWASILIANE
Mawasilano ni enbinga@gmail.com kwa namba ya simu njoo PM
NB. HATA KAMA HUNA HELA YA KUNILIPA KWA SASA TUTAINGIA MKATABA AMBAPO UTANIPATIA MALAZI CHAKULA HADI PALE UTAKAPO VUNA AU KUUZA MIFUGO YAKO
Ahsanteni
En, Binga
 
Back
Top Bottom