Natafuta kibarua Dar es Salaam

Natafuta kibarua Dar es Salaam

leham

Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
13
Reaction score
16
Habari za mda huu wapendwa,

Mimi ni binti wa miaka 23. Elimu yangu ni kidato cha sita, niko hapa kutafuta ajira yoyote ile sichagui kibarua ilimradi kiwe na mazingira mzuri ya kazi (am hardworking na ntaipenda kazi yangu)

Napenda kuwasilisha ndugu zangu🙏Mkoa dar es salaam
 
Toa hizo namba, humu kumejaa wajuvi, matapeli ya kila aina bila kusahau mibazazi,,,, ! Mtu akiona tangazo akiwa interested atakuja kwenye inbox yako, ukijiridhisha utampa namba! Kila la kheri binti ! Kama hujui kutoa hizo namba chini mwishoni mwa thread kuna sehemu ya kuedit bonyeza hapo
 
Asantee Sana nshafanyaa hvoo tyar🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom