Habar wana JF
Mimi ni kjana wa kiume nasoma chuo flan hapa Arusha mwaka wa 3,kutokana na bodi kunicheleweshea mkopo wangu toka mwez wa kumi had leo kwa kuleta majbu kuwa on processing nmekuwa sina ujanja wowote wakuweza kupata ada semista hii na maisha kuwa magumu sana kupita kias.
Hivyo bas kama kuna sehemu naweza pata kibarua chochote ambacho hakitaathiri sna ratba zangu za kmasomo hasa maeneo ya arusha naomba ntashukuru ili niweze kupata angalau chochote chakusogeza maisha. Nmeshindwa kwenda bodi tena kwa mara ya pli kutokana na Ukata
Natanguliza shukuran zangu kama ntapata kibarua kwa maeneo ya Arusha,,Kazi yyte naweza kufanya ambayo ni ya halali.Asanteni
Hapo ni kuwa houseboi tu nadhan...maana hiyo kazi itayokuwa haiingilian na ratiba zako ni kazi gani?!
Ungeniconect sehem gan mkuuUngelikuwa dar ningekukonect.
We up Ar. Kitu kipo Dar.
usichoke......hao wanaocomment vibaya kwenye uzi huu...ni product za division5 xo wanajaribu kupitapita kwenye jukwaa huenda nao wakapata ahueni xiunajua tena HAwapendi maendeleo ya mtu aswa wakipigwa bao.... maombi+juhud utafanikiwa hata mimi nimeexpirience tatizo km hilo ila namshukuru mungu ada haikuwa kikwazo ila accomodation ilkuwa problem mkuu...ukiwa JF unakutana na watu tofauti i.e std 7 ,form 4,6 na elimu ya juu ..so lazma utakutana na majibu ya kukatisha tamaa na ya kutia moyo.... GOD MAY BLESS U
niconect mimi mkuu maana i found d same problem na nipo Dar