Watakwambia maliza chuo kwanza... All in all! Kila la kheri [emoji112]Niko Arusha mjini
Umri miaka 24 mvulana
mwanafunzi wa chuo
kwa mwenye connection ya kibarua hapa mjini msaada tafadhali muda wangu ni kwanzia saa 10
Watakwambia maliza chuo kwanza... All in all! Kila la kheri [emoji112]