princ kadur
Member
- Mar 12, 2020
- 63
- 55
Habari wakuu natafuta kibarua katika kada yoyote profile yangu kwa ufupi hii hapa.Natanguliza shukrani.
Jinsia: Mwanaume
Umri: Miaka 26
Elimu: Certificate in Telecommunication
Mahali: Arusha Sakina.
Jinsia: Mwanaume
Umri: Miaka 26
Elimu: Certificate in Telecommunication
Mahali: Arusha Sakina.
, madereva wa trunks huko ni hot
cake kwa sasa, pigana maana Zimbabweans na zambians nao wanaelekea huko,good luck