Natafuta keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500

Natafuta keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500

BROTHER OF BROTHERS

Senior Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
114
Reaction score
160
Habari yenu Mimi ni Kijana mjasiriamali na ni mtaalam wa computer haswa Hardware na Software naomba kama Kuna mtu mwenye Keyboard ⌨️ ya Dell Vostro 3500 aniuzie pia unaweza kunicheki WhatsApp 759115313

IMG20210706180253.jpg


IMG20210706175952.jpg
 
Nenda kwa mafundi PC pale machinga complex ukikosa nunua online kamaAmazon.
 
Amazon nimecheki ila mkuu ni ghali sana.wanauza wastan wa Tsh 75,000/- natafuta za mtaani hata kwa Tsh 30-40
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom