Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 945
Kutokana na kichwa habari hapo juu mm binafsi natafuta kazi hasa dar es salaam sababu ndio mji niliouzoea kazi yoyote ile mradi iwe hahali nipo tayari kujitolea mradi pawe na mahala pa kulala,,,,, elimu ni form six pia nilisoma chuo mpaka mwaka wa pili kutokana na matatizo nilishindwa kuendelea,, nina ujuzi wa udereva magari yote isipo kuwa ya abiria na magari makubwa ya biashara nipo tayari kufanya kazi mda wowote plzzzz naombeni msaada hata kama una rafiki au ndugu anayehitaji mfanyakazi mradi nipate pa kulala now nipo mkoani ila ukinihitaji nipo tayari na nitatumia gharama zangu kuja mshahara ni makubaliano nina umri wa miaka 25 aliye tayari ani #dm ,,,,, #note naomba nipatiwe pahala pa kulalala nipo tayari hata kesho na vyeti vyote ninavyo mpaka vya form six,,,chuo nilikuwa nasomea #humanResoursesManagement japo siku maliza,,asanteni