Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,989
Naamini utasaidiwa Maisha Safari ndefu
Upo tayari kufanya kazi za kiwandani kweli malipo kwa siku elfu nne,pesa itaongezeka jinsi unavyojituma kazini kama unaitaji sema nikuelekeze sehemu utapata hiyo kazi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
nlUpo tayari kufanya kazi za kiwandani kweli malipo kwa siku elfu nne,pesa itaongezeka jinsi unavyojituma kazini kama unaitaji sema nikuelekeze sehemu utapata hiyo kazi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mwenye umri miaka 23. Kiukweli maisha yangu ni magumu, nimeona ni busara niwe muwazi huenda nikapata msaada mzuri wa kimawazo kutoka kwa watu mbalimbali humu jamvini. Kwa bahat mbaya sikubahatika kumaliza elimu yangu ya sekondari kutokana na matatzo ya kifamilia. Hivyo basi maisha yangu kwasasa yamekuwa magumu kiasi cha kupoteza muelekeo. Kwa meneno haya machache waungwana mimi natafuta kazi hasa za viwandani kwa yeyote atakayepata fununu za kazi za viwandani naomba ani pm...ahsanteni!
kiwanda gani.viwanda viko vingi fafanua
habari kaka, nami pia nilikuwa nahitaji my phone number ni 0762856503Upo tayari kufanya kazi za kiwandani kweli malipo kwa siku elfu nne,pesa itaongezeka jinsi unavyojituma kazini kama unaitaji sema nikuelekeze sehemu utapata hiyo kazi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
habari kaka, mimi pia nahitaji kazi hizo, kama hutojali mawasiliano yangu ni 0762856503
Upo tayari kufanya kazi za kiwandani kweli malipo kwa siku elfu nne,pesa itaongezeka jinsi unavyojituma kazini kama unaitaji sema nikuelekeze sehemu utapata hiyo kazi
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hebu na mimi nsaidie hii mkubwa nimechoka kukaa mtaan namba yangu ni 0758483433 na 0674488438
hebu na mimi nsaidie hii mkubwa nimechoka kukaa mtaan namba yangu ni 0758483433 na 0674488438
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23.
Kiukweli maisha yangu ni magumu, nimeona ni busara niwe muwazi huenda nikapata msaada mzuri wa kimawazo kutoka kwa watu mbalimbali humu jamvini. Kwa bahat mbaya sikubahatika kumaliza elimu yangu ya sekondari kutokana na matatzo ya kifamilia. Hivyo basi maisha yangu kwasasa yamekuwa magumu kiasi cha kupoteza muelekeo.
Kwa meneno haya machache waungwana mimi natafuta kazi hasa za viwandani kwa yeyote atakayepata fununu za kazi za viwandani naomba ani pm...
Ahsanteni!