Natafuta Kazi

nyie mnaokazana kuwaambia watu wajiajiri mnanikumbusha msemo mmoja wa kibuddha. "when the stomach is full it is easy to talk of fasting"

Naona hujatoa wazo la kumsaidia zaidi ya kuponda.
Kama hajapata ajira kwa muda wote huo , nani atampatia kazi uzoefu alionaona ni wa jobless.

Toka ndani ya box jiajiri , mie nime jiajiri mwenyewe
Na nna furaha kwa nnachokifanya.
Take it from me think big aoutsde z box.
 
autorun255 mimi sijaponda nimesema nilichokikumbuka. wewe ambaye umejiajiri mpe mbinu. wala shida yake siyo kujua kama una furaha au hapana katika kile unachokifanya
 
Hivi nyie watu mnaotupigia mayoe etii ohh Tujiajiri mna akili kweli?
 
Hiyo heading inaonesha haipo serious hivyo sidhani kama mwajiri mwenye akili timamu anaweza kukupa kazi.

Ushauri wangu: usiwekeze akili yako kwenye kuajiriwa. Jiulize Bakhresa kaajiriwa na nani? Kwanini usitamani wewe uwaajiri watu wengine. Hebu wekeza kwenye kujiajiri ili siku moja uwape ajira vijana wenzako.
 

Hvi mtu anaezaje kujiajirii bila kuwa na capital??? Wawezesheni kwanza ili waweze kujiajirii
 
Hvi mtu anaezaje kujiajirii bila kuwa na capital??? Wawezesheni kwanza ili waweze kujiajirii
Wanasemaga mtaji ni akili sio PESA ila sina ushahidi sana na usemi huu.
 
atasugua kwell bench!!
ww ni msomi hivyo kama ajira imekuwa ngumu unatakiwa upambanue njia za kupata mtaji wako ili uendeleze maisha kwa wepesi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…