Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jul 5, 2014 #1 Mimi ni kijana nimemaliza diploma in marketing management nina tafuta kazi ya marketing nikipata ntafurahi saana wakuu maisha ya kitaa magumu asikwambie mtu. Naombeni mnisaidie wakuu asanteni.
Mimi ni kijana nimemaliza diploma in marketing management nina tafuta kazi ya marketing nikipata ntafurahi saana wakuu maisha ya kitaa magumu asikwambie mtu. Naombeni mnisaidie wakuu asanteni.
jepro Member Joined Oct 28, 2011 Posts 90 Reaction score 6 Jul 5, 2014 #2 Umemaliza mwaka gani??unaexperience ya muda gani katika marketing??
Lio 002 JF-Expert Member Joined May 10, 2014 Posts 436 Reaction score 68 Jul 6, 2014 Thread starter #3 jepro said: Umemaliza mwaka gani??unaexperience ya muda gani katika marketing?? Click to expand... Nimemaliza mwaka huu mkuu ila before nilishawahi fanya kaz kwa muda kama mwaka mmoja hivi
jepro said: Umemaliza mwaka gani??unaexperience ya muda gani katika marketing?? Click to expand... Nimemaliza mwaka huu mkuu ila before nilishawahi fanya kaz kwa muda kama mwaka mmoja hivi