Nilikuwa ninamaanisha degree yake alisoma course gani coz swala la kuwa na masters pia huwa linategemea sana km masters yako inauhusiano na degree ya kwanza.
Nilikuwa nataka tu nikushauri rafiki kuwa km masters yako inauwiano na degree yako na km ulikuwa na gpa nzuri undergratuate unaweza kucheki na academic institutes coz wao wanaajiri sana kwa sasa na walipa vizuri pia