Natafuta kazi

Polax

Senior Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
116
Reaction score
6
Natafuta kazi ya house maid naombeni msaada

 

Attachments

  • Image0194.jpg
    49.3 KB · Views: 290
mkuu asante kwa kuweka picha.. sasa kwa vile ushakuwa verified, fanya hivi...

1.. weka jina lako halisi

2.. taja umri wako

3.. sema unaishi dar es salaam sehemu gani

4.. toka ufike dar es salaam mwanzoni mwa mwaka huu, unaishi vipi kwa sababu ulishasema huna kazi wala mtu wa kukuhifadhi wala kukulisha?

5. toka ufike dar es salaam, umefanya kazi gani ya kukuingizia kipato? na umekuwa ukiishi wapi na kivipi?


jieleze kwa ufasaha uweze kusaidiwa!
 

Umetisha mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mie jina langu halisi ni patrick jeremiah nina miaka 19 niko buguruni madenge kwa rafiki zangu hapa tunaishi kiubishi wenzangu wanauza maji ila mie kwakuwa mwanzo nilifanya kazi iyo nilikata tamaa kwaiyo jamani msaada wenu please
 
For your'e help Call yangu iyo hapo ^ 0685816103
 
Wewe sio mdogo wake na Fid Q kweli wewe?yaani Kaka yako Fid Q anakuacha upate shida zote hapa Mjini huku yeye akiuza Sura kwenye T.V ..!!?. Ama kweli usije mjini kaka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…