Jamani mm ni binti natafuta kazi yoyote hile ata sehemu ya kujitolea nna degree ya business administration! Mwenye kunisaidia ni PM.asanteni
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Aaah jamani kwani blackberry shilling ngap?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Wakwale utawajua tu washomba contact
Wewe ni wa kiume au wa kike? kama ni mwanaume believe me hautopata ushirikiano humu.Na mimi mhasibu nina uzoefu wa miaka 3 natafta kazi waungwana.Naomba mwenye kujua mahal wanataka mhasibu anijuze kwa pm,au email huzy2006@gmail.com au namba0713986635.Asante
Na mimi mhasibu nina uzoefu wa miaka 3 natafta kazi waungwana.Naomba mwenye kujua mahal wanataka mhasibu anijuze kwa pm,au email huzy2006@gmail.com au namba0713986635.Asante