Natafuta kazi

Natafuta kazi

The one k moe

New Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
3
Reaction score
0
MIMI NIKIJANA TIMAMU WAKITANZANIA NAELIMU YAKIDATO CHANNE. NATAFUTAKAZI AMBAYO INAWEZAKUNIPA KIPATO CHAKUWEZAKUISHI NANDUGUZANGU. NAMILIKI LESENI YAUDEREVA YENYEMADARAJA A,A2,B na D.
 
"Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye akili timamu. Ninapatikana mkoa wa ****. Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi, niweze kujikimu mimi pamoja na ndugu zangu. Nina leseni ya udereva ya madaraja A, A2, B na D. Mawasiliano yangu ni: *******. Asanteni.
 
Ubarikiwe kumsaidia kijana wetu, hawa vijana wa Mulungo ni janga la taifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom