K KASENYENDA JR Member Joined May 5, 2013 Posts 90 Reaction score 15 May 16, 2013 #1 Mimi ni mkazi wa dar,elimu yangu ni ya chuo kikuu,natafuta kazi ya kufanya kwa mda kwa kuwa kipindi hiki niko nyumbani,niliahilisha mwaka waa masomo kwa matatizo binafsi,niko tayari kufanya kazi mahala popote pale,
Mimi ni mkazi wa dar,elimu yangu ni ya chuo kikuu,natafuta kazi ya kufanya kwa mda kwa kuwa kipindi hiki niko nyumbani,niliahilisha mwaka waa masomo kwa matatizo binafsi,niko tayari kufanya kazi mahala popote pale,