Natafuta kazi..

Natafuta kazi..

shaa of jay

Member
Joined
Mar 10, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita...ninanomba wanajamii forum mnisaidie kupata kazi ya muda mfupi hadi niendapo chuo..ninaweza computer,naongea fluent English...
Wadau tusaidiane kwani kazi itansaidia kuwa busy na kuepuka vishawishi vya hapa na pale,pia kunpatia hela za kujikimu
Saidia mtoto wa Tanzania..
Namba yangu ni 0716485453...kwa wale watakao taka kunsaidia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom