Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Kindokyako, Apr 12, 2012.

 1. K

  Kindokyako New Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I am a nurse professionally,worked for health programs with experience of more than 8 years.Please anyone here who have anything or have some connections which will fit me it will be ma pleasure.Pamoja katika ujenzi wa taifa.
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kwa fani yako sio mtu wa kuja kutafuta kazi hapa.....watu wa Afya ni hot cake!!! wanatafutwa sana, labda kama unachagua sehemu ya kazi....wewe ni Nurse wa Rank gani?
   
 3. K

  Kindokyako New Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ningekua nayo nisingekuja apa kuandika yote haya Bushbaby.I am nurse officer,ila lazima iwe dar coz nina evening studies naingia class saa kumi kamili.
   
 4. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Nilijua kuwa lazima unachagua kituo cha kazi.... kama ni kwa Dar tu...uwe na subira!!
   
Loading...