liberiuslaurian
New Member
- Oct 29, 2026
- 4
- 16
"Year 2020" - Nafikiri fursa ni kile ulichoamua kukifanya huko huko uliko - KLMYK wewe.Ngoja waje mkuu, endelea kusubiri....
mbona unatukana mtu bila sababu?!"Year 2020" - Nafikiri fursa ni kile ulichoamua kukifanya huko huko uliko - KLMYK wewe.
Tusi lipi jamani??mbona unatukana mtu bila sababu?!
Nina Akili Ndogo Sana ile nyie. Psychological games.Nahitaji vijana 500 wa kutembeza kahawa, mshahara kwa mwezi laki 5, ila uhakikishe kwa siku mauzo yaanzie elfu 50.
Ngoja waje mkuu, endelea kusubiri....
Elimu yako?
Kwann utela na sio kuuza mangi shop ??
Waambie hao ndugu zako wa SSIT waendelee ku edit comments pamoja na thread zangu za katika social media ile ya Ulaya.mbona unatukana mtu bila sababu?!
Umekunywa nini?Waambie hao ndugu zako wa SSIT waendelee ku edit comments pamoja na thread zangu za katika social media ile ya Ulaya.
Waambie hao ndugu zako wa SSIT waendelee ku-edit comments pamoja na thread zangu za katika social media platform ile ya Kenya.Ngoja waje mkuu, endelea kusubiri....
Umesahau kuwaambia kuwa hao wauza kahawa lazima wawe ni mafilimasoni ili wayafikie hayo mauzo shenzi kabisa boss muuza kahawa๐๐Nahitaji vijana 500 wa kutembeza kahawa, mshahara kwa mwezi laki 5, ila uhakikishe kwa siku mauzo yaanzie elfu 50.
Kijana umelewa??Waambie hao ndugu zako wa SSIT waendelee ku-edit comments pamoja na thread zangu za katika social media platform ile ya Kenya.
Ww bado ujobless haujakunyooshaAngalizo: SITOI PESA ya fomu, usajili, wala hongo kabla ya kufika kwenye duka na kufanya maongezi ya kazi ana kwa ana. Asante ๐๐๐งโโ๏ธ
Unatukana mtu wa tabora kwanini"Year 2020" - Nafikiri fursa ni kile ulichoamua kukifanya huko huko uliko - KLMYK wewe.
Nilitaka nikomenti hivi analeta jeuri kwenye hamnaWw bado ujobless haujakunyoosha