Habari za wakati huu ndugu zanguni
Kwa majina naitwa ELIUD GABRIEL mwenyeji wa KIGAMBONI DAR ES SALAAM nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kazi au internship nina uzoefu katika umeme wa majumbani na pia napenda sana kujifunza vitu vingi sana kwenye carrier ya umeme ntafurah sana mkinisaidia Ndugu zanguni na pia kazi yoyote ikipatikana nipo teyar kuifanya pia
Natanguliza shukran zangu za dhati
Namba zangu ni ;0718390366
0753801565