habari wakuu hongereni kwa mwaka mpya. Nikienda moja kwa moja kwenye mada.Mimi natafuta kazi yoyote ila nina uzoefu wa miaka 2 laboratory technician pia quality control pia Nina uzoefu wa blending operator yani Nina uwezo wa kublending products zote hasa za spirit mfano konyagi,vodica,value,zanzi,imagi,wine zote, vitoko, sungura,kvant na pombe zote za spirit na kuangalia ubora wa products. Natafuta kazi yoyote na ikitokea inayoendana na career yangu nitashukuru ,pia selikarini naweza kufanya kazi TBS,mkemia mkuu,shilika la chakula,msd na kote ambapo kuna laboratory. Naombeni msaada wenu atakayepata kazi iwe kiwandani au popote aniambie Mimi nipo Dar es salaam.asanteni sana