Natafuta kazi

Natafuta kazi

Unaweza kufanya kazi mazingira ya kijijini?
Kazi ya u secretary/mapokezi.
 
IMG-20231109-WA0007.jpg
 
Mimi ni Binti wa miaka 21
nina elimu ya kidato cha nne cheti cha jkt na ujasiriamali pia.
Nina ujuzi wa secretary level 2 nipo mkoa wa Iringa mtaa wa mkwawa
Natafuta kazi reception, secretary ,customer care, duka lolote, au chochote kitachoendana na hiki nilichokiandika asanteni ....
 
kwa ww ulivo mrembo hvo kazi utapata tu dadaangu ila kuwa makini na mibazazi ya humu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom