Pole sana, weka juhudi zaidi , wakati mwafaka utapata kazi. Muhimu usichague na wala usikate tamaa.Habari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Siku hz vitu vingi unafanya ukiwa mjanja na mtafiti! Maana hapa cargo tulifanya interview na majamaa wa NIT wamesomea logistics ila mi experience ya mambo ya kwenye transporter za mikoani na kariakoo ikanibeba
Mkuu mm naweza kuandika hizo mambo. I have 2 years of experience. Japo nimedandia mada but naomba msaada wa kunionesha hiyo fursa.Sawa, kulikuwa na fursa ya kuandika hizo articles za kiingereza ingeweza kukufaa maana ungefanya remotely huko huko uliko!
Pole ndugu mwandishiHabari zenu wakuu , kitaaluma mim ni mwandishi wa habari naomba mwenye kazi jamani kwasasa nipo tayari kufanya kazi yeyote ile ,iwe usafi ,carwash ,dukani kikubwa iwe ya kwenda na kurudi . Location nipo Iringa Igumbilo
Unakubali vipi kupoteza opportunity kwa kitu unachoweza kujifunza na ukiwa serious mwaka tu unakuwa unashaimasta lugha kuna ma-app ya kujifunza lugha kibao kwa kifupi acha uzembe.Kingereza nisiwe muongo labda kiswahili hapo naweza sanaa tu
Unaweza niunganisha hio kazi ya kuandika articles mkuuSawa, kulikuwa na fursa ya kuandika hizo articles za kiingereza ingeweza kukufaa maana ungefanya remotely huko huko uliko!
Unaweza niunganisha hio kazi ya kuandika articles mkuu
Mimi sio miongoni mwa hao waliokuwa kwenye group, kama inawezekana naomba uniPM mkuu uweze kuniweka sawa na kunieleza juu hilo. Natanguliza shukrani zangu za dhatiJumla ya watu wapatao 7 pamoja na you[mention]Catherine Mbigili [/mention] wamejitokeza niwaunganishe na hiyo fursa! Ili na mimi inisaidie kuokoa muda wa kumwelekeza kila mmoja kivyake, nikaona tuwe na what’s app group la hao tu na ili niwapatie maelekezo na link kwa urahisi na nisilazimike kumjibu na kutoa maelezo kwa kila mmoja! Sasa mmoja wao nilimwomba atengeneze hilo group na akakubali! Nilimpa namba zetu wote mlioitikia na mkakubali kuwa kwenye hilo group, lakini hadi leo ni siku ya 3 kimya!!! Na mimi nipo busy sana na kazi zangu za kawaida!
Shida iko wapi hajaunga group au vipi?Jumla ya watu wapatao 7 pamoja na you[mention]Catherine Mbigili [/mention] wamejitokeza niwaunganishe na hiyo fursa! Ili na mimi inisaidie kuokoa muda wa kumwelekeza kila mmoja kivyake, nikaona tuwe na what’s app group la hao tu na ili niwapatie maelekezo na link kwa urahisi na nisilazimike kumjibu na kutoa maelezo kwa kila mmoja! Sasa mmoja wao nilimwomba atengeneze hilo group na akakubali! Nilimpa namba zetu wote mlioitikia na mkakubali kuwa kwenye hilo group, lakini hadi leo ni siku ya 3 kimya!!! Na mimi nipo busy sana na kazi zangu za kawaida!
Tell me about this dearUnaweza kutafuta wateja kwa haraka mf. Umeajiriwa today mpaka mwisho wamwezi unaweza pata wateja 20 . Napia je unaweza kupata wateja 20 tena mwezi mwingine??