Natafuta kazi.

mamsapu

Senior Member
Apr 22, 2011
111
25
Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana.
 
Natafuta kazi, nimesomea Bachelor of Business Administration, nimemaliza mwaka jana.

Dah, Ndugu yangu kazi zingekuwa zinapatikana kwa style yako maisha yangekuwa rahisi sana. Jifunze Kuomba unaweza kusaidiwa maana hao wanaotafuta kazi ni wengi sio kazi zinawatafuta wao.
 
Endelea kutafuta utapata, pitia magazeti na jaribu kutengeneza Network.
 
Tafuta additional qualification, huku Private sector kila mjasiria mali anasimamia shughuli zake mwenyewe hivi ulichosomea hatukihitaji sana.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom