M Marycigeh meru Member Joined Jun 11, 2023 Posts 11 Reaction score 59 Jul 10, 2023 #1 Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo. Napatikana Dar es salaam Mawasiliano; 0762408926
Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo. Napatikana Dar es salaam Mawasiliano; 0762408926
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,345 Reaction score 25,881 Jul 10, 2023 #2 Marycigeh meru said: Habari mimi ni kijana wa miaka. 24 nimemalza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier , kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo Mawasiliano ; 0762408926 Click to expand... Mwaka huu 😅
Marycigeh meru said: Habari mimi ni kijana wa miaka. 24 nimemalza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier , kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo Mawasiliano ; 0762408926 Click to expand... Mwaka huu 😅
KingsStore Member Joined Feb 22, 2023 Posts 73 Reaction score 105 Jul 10, 2023 #3 Tumia elimu yako ya chuo kujitengenezea fursa ajira ni utumwa kataa ajiraaaaaa
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,642 Jul 10, 2023 #4 KingsStore said: Tumia elimu yako ya chuo kujitengenezea fursa ajira ni utumwa kataa ajiraaaaaa Click to expand... Bila mtaji ?
KingsStore said: Tumia elimu yako ya chuo kujitengenezea fursa ajira ni utumwa kataa ajiraaaaaa Click to expand... Bila mtaji ?
KingsStore Member Joined Feb 22, 2023 Posts 73 Reaction score 105 Jul 10, 2023 #5 DR HAYA LAND said: Bila mtaji ? Click to expand... Unategemea mtaji utakuja wenyewe boss ingia mtaan pambana fursa ni kujitengenezea hakuna mtu mahali anakutengenezea
DR HAYA LAND said: Bila mtaji ? Click to expand... Unategemea mtaji utakuja wenyewe boss ingia mtaan pambana fursa ni kujitengenezea hakuna mtu mahali anakutengenezea
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,205 Reaction score 7,358 Jul 10, 2023 #6 Hongera kwa hatua ya kuhitimu. Kazi utapata tu
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 31,676 Reaction score 81,642 Jul 10, 2023 #7 KingsStore said: Unategemea mtaji utakuja wenyewe boss ingia mtaan pambana fursa ni kujitengenezea hakuna mtu mahali anakutengenezea Click to expand... Sawa mkuu
KingsStore said: Unategemea mtaji utakuja wenyewe boss ingia mtaan pambana fursa ni kujitengenezea hakuna mtu mahali anakutengenezea Click to expand... Sawa mkuu
Makex106 New Member Joined Sep 17, 2023 Posts 1 Reaction score 0 Sep 21, 2023 #8 Ajira hamna nenda tu Shamba kalime