Natafuta kazi

Saa nyingine mnajichelewesha kupata kazi, weka details za kutosha. Umemaliza chuo gani?,mwaka gani, Sasa hivi unaishi wapi?,upo tayari kufanya kazi wapi na wapi?,kazi za I.T tu au kazi yoyote unafanya?,una leseni ya kuendesha gari?,una ujuzi mwingine wowote wa nyongeza?, Warahisishie watu Ili wasipate shida kukujua, wewe ndo mwenye shida ikibidi weka namba ya simu.
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 nina degree ya Computer science natafuta kazi
Wahi Ajira Portal kuna kazi zimetoka deadline leo na nyingine zimetoka za u-lecturer km ulibutua GPA 3.8 kuendea basi hio kazi inakuhusu nenda kaombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom