OK, unasali kwa Sunbella Kyando. Mungu akusaidie kukufanyia wepesi. Wewe ni mwerevu sana, kuna wengine wakitaka kazi wanaenda kunywa maji kisha wanapaka mafuta na kujifungia ndani wakisali, ila wewe umechukua hatua. Ombeni, Bisheni yaani nenda kabishe huko kwenye milango ya watu ikiwemo hapa JF, Tafuteni, hakika umetafuta hakika soon utapata hitaji la moyo wako