Natafuta kazi

rabson john

Member
Jan 22, 2020
27
10
Naitwa RABSON JOHN
Naishi DAR ER SALAAM MABIBO
NINA MIAKA 27

Mimi ni kijana ambae nina fani ya Udereva.

Pia nina uzoefu wa Sales & Marketing nimewahi fanya kazi na makampuni mengi hapa Dar er Salaam

Nina leseni ya udereva yenye madaraja haya.

A.A2.B.C1.C2.C3.D.E pia napenda kuwaomba kazi ya udereva kumuendesha mtu binafsi au magari yoyote ya kampuni nita fanya kazi kwa usahihi maana udereva upo ndani ya moyo wangu.

0627908218

Au kazi yoyote itakayo patikana nitaifanya kwa moyo mmoja

KAZI NITAFANYA POPOTE TANZANIA ATA NJE TANZANIA NIPO TAYARI

ASANTE
 
Naitwa mandela mgoha nipo dar ni mwenye fani ya plumbing natafuta kampuni yoyote ya kufanya nayo kazi nina uzoefu wa muda mrefu na nina cheti cha ufundi stadi daraja iii hata serikalini nafanya pia nikipata nafasi kwa mawasiliano 0655556569
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom