Natafuta kazi

Natafuta kazi

chaz beezz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2020
Posts
217
Reaction score
877
Nimemaliza diploma ya journalism and mass communication (2020) mwenye nafasi ya kazi katika taasisi yoyote ile naomba msaada wako iwe ndani au nje ya field yangu nitashukuru sana.
Ama kibarua chochote niweze kukidhi mahitaji yangu ya kila siku

Nipo Mbeya mjini

Jinsia; male
msaada jamani[emoji120][emoji120][emoji120]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom